Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Wazaramo we unawajua au unawasikiaga kwenye intaneti tu?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] chama chake mwenyewe halaf kapangiwe nafasi
Wazaramo we unawajua au unawasikiaga kwenye intaneti tu?
Haya jifanye eti unataka kupanda cheo kwenye hiyo teraristi oganaizesheni yenu uone kitakachokupata. Utahama mtaa wallahi [emoji16][emoji16][emoji16]Hahahaha siwajui vizuri hasa kwenye nafasi za kimadaraka
Lazima mchukue ubingwa msimu huu