Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

455020340_207151.jpeg
 
Timu ya Arsenal imeibuka na ushindi mnono baada ya kuivuruga AFC Bournemouth mabao 5-1 kwenye mchezo wa Ligi Kuu England huku Liverpool wakiwaachia maumivu Watford kwa kuwafunga mabao 5-0 michezo iliyopigwa jana Jumatano usiku.
 
Back
Top Bottom