Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,022
Bill ipo hadharani broUlikuwa Gold Crest ama?
Kilichokupeleka huko hukulipia/hukuzawadia? Weka bili hapa tuone [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2221][emoji2221][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
Bill ipo hadharani broUlikuwa Gold Crest ama?
Kilichokupeleka huko hukulipia/hukuzawadia? Weka bili hapa tuone [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2221][emoji2221][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
Mambo ndio yapo hivyo bro huko mkoani bandia kwakoAisee
MAZINGIRA SAAFI
kamependeza...
😀😀😀😀Ladies will buy 40 pillows to decorate their bed only to be throwing them all down when they want to sleep,confused humans[emoji849][emoji2954]
Kwenye kifo Mungu Alituweza kweli. Longolongo yote ya binadamu kwisha !!!Wakenya wanamuomboleza mojawapo ya wasanii nguli katika mtindo wa kufoka au rap, Chris Kantai.
Vyombo vya habari nchini vinaripoti kwamba Chris aliaga dunia Jumatano katika hspitali moja mjini Nairobi alikokuwa anapokea matibabu baada yakuugua kwa muda mfupi.
Msanii huyo rapa Chris Kantai mwenye umri wa miaka 42 inaarifiwa alilazwa tangu Jumatatu wiki hii.
Gazeti moja limemnukuu mwakilishi wa familia ya msanii huyo Bi Wanjiku Thuku, aliyesema kwamba alifariki kutokana na matatizo ya kupumua.