Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Huyu jamaa mlafi [emoji16][emoji16][emoji16]
Lusifa Orijino - izi zati yu? [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji16][emoji16][emoji16]Lusifa Orijino - izi zati yu? [emoji16][emoji16][emoji16]
Donti swalo awa muuni....!!!
Jana wamecheza vzr sana,sikutegemea kupata matokeo kama yale,,Ole anapaswa kupongezwa aiseeHiyo ni timu nzima ipo nje ya uwanja. Lakini Solskjaer anaamini kwenye kikosi chake kuna mastaa wengine matata kabisa ambao wamekuwa wakikaa benchi, watatumika kuleta matokeo bora uwanjani. Ukiwajumuisha McTominay na Perreira, Ole anawagemea pia wakali wengine kama Fred, Tahith Chong, Jimmy Garner na Angel Gomes, ambao wataingia kwenye kikosi kuungana na wakali wa siku zote, David De Gea, Ashley Young, Chris Smalling, Victor Lindelof, Luke wLukaku, Eric Bailly, Sanchez, Diogo Dalot na Sergio Romero kusukuma jahazi.