Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,022
Hatari sanaNyota Luis Suarez ameitibulia Real Madrid kwenye Uwanja wa Santiago Bernabeu baada ya kufunga mabao mawili na kuipelea timu yake kwenye fainali ya Copa del Rey.
Hatari sanaNyota Luis Suarez ameitibulia Real Madrid kwenye Uwanja wa Santiago Bernabeu baada ya kufunga mabao mawili na kuipelea timu yake kwenye fainali ya Copa del Rey.
😀😀😀😀OLE Gunnar Solskjaer amewadharau Liverpool. Amewaambia hadhani kama wana uwezo wa kubeba ubingwa wa Ligi Kuu England msimu huu.
Nyumba hizi huwa haziangushwi na matetemeko ya mara kwa mara yanayoikumba Japan. Imebidi wajifunze zilijengwaje na utaalamu huo ndiyo unatumika sasa katika kujenga ma skyscraper yanayonesa nesa tu wakati wa tetemeko.
Unazungumziaje issue inayomuandama kwa sasa?Konki Konki Master...
Mjinga....Unazungumziaje issue inayomuandama kwa sasa?