Kwa upande mmoja yupo sahihi kwa upande mwingine hayupo sahihi
Upande sahihi :miaka kadhaa iliyopita,jamii ililishwa sumu kali na wasanii kwamba ruge mdhulumati wakatolea mfano mangwea na wengineo,sugu akaenda mbali na kutoa hadi albamu ya anti virus na tamasha juu full matusi kwa Ruge,kila mtu akawa anamchukia ruge kwa maneno ya kuambiwa. Juzi kati wasafi nao waanza mtukana Ruge kisa maslahi yao so konki akaiparamia kiki vizuri tu
Hayupo sahihi: wakati alioutumia na lugha sio sahihi. Muda wa konki ulishapita zamani na hakua na akili ya kuutumia muziki wake vizuri hivyo kumlaumu Ruge ni kumuonea tu. Muda si rafiki kwa konki maana watu wameshasahau tuhuma zote za Ruge
Wale church yenu iko karibu na petrol station na mnaombanga .. fire fire..... [emoji28] wacha siku maombi yenu itajibiwa ndo mtajua hamjui[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2960]
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.