That's the rolo modo ai nooo [emoji122][emoji122][emoji122]Hujaniuliza ila jadi yangu kukurupuka
Kwa upande mmoja yupo sahihi kwa upande mwingine hayupo sahihi
Upande sahihi :miaka kadhaa iliyopita,jamii ililishwa sumu kali na wasanii kwamba ruge mdhulumati wakatolea mfano mngwea na wengineo,sugu akaenda mbali na kutoa hadi albamu ya anti virus na tamasha juu full matusi kwa Ruge,kila mtu akawa anamchukia ruge kwa maneno ya kuambiwa. Juzi kati wasafi nao waanza mtukana Ruge kisa maslahi yao so konki akaiparamia kiki vizuri tu
Hayupo sahihi: wakati alioutumia na lugha sio sahihi. Muda wa konki uloshapita zamani na hakua na akili ya kuutumia muziki wake vizuri hivyo kumlaumu Ruge ni kumuonea tu. Muda si rafiki kwa konki maana watu wameshasahau tuhuma zote za Ruge
Siyo kila mtu wa Mwanza ni mjinga bro. Wengine tupo vizuri tu apusiteazi [emoji16][emoji16][emoji16]Ni mtu wa Mwanza alafu 😀
Nimependa utangulizi wako pia nimependa hoja zako hasa ulipoelezea hili swala kwa pande zote mbiliHujaniuliza ila jadi yangu kukurupuka
Kwa upande mmoja yupo sahihi kwa upande mwingine hayupo sahihi
Upande sahihi :miaka kadhaa iliyopita,jamii ililishwa sumu kali na wasanii kwamba ruge mdhulumati wakatolea mfano mngwea na wengineo,sugu akaenda mbali na kutoa hadi albamu ya anti virus na tamasha juu full matusi kwa Ruge,kila mtu akawa anamchukia ruge kwa maneno ya kuambiwa. Juzi kati wasafi nao waanza mtukana Ruge kisa maslahi yao so konki akaiparamia kiki vizuri tu
Hayupo sahihi: wakati alioutumia na lugha sio sahihi. Muda wa konki uloshapita zamani na hakua na akili ya kuutumia muziki wake vizuri hivyo kumlaumu Ruge ni kumuonea tu. Muda si rafiki kwa konki maana watu wameshasahau tuhuma zote za Ruge
Kafanyaje mzee??yule jamaa kwa sasa silisikia ni answali sunna mzuri tu,hadi kiremba anavaa,,suluari fupi ndio zakeHahah! Sawa bro, alafu leo nimekutana na jamaa yako Saigon mwanangu sikufichi hali ni mbaya