Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kafanyaje mzee??yule jamaa kwa sasa silisikia ni answali sunna mzuri tu,hadi kiremba anavaa,,suluari fupi ndio zake
Na mimi ndio nilikua nasikia hivyo pia ndio ukweli ulivyokua lakini kwa nilivyomuona leo naona hali ni tofauti, jamaa yupo rafu sana, yupo tungi alafu anatoa zile tano zake kwa kila mtu mixer kupiga mistari hadharani. nahisi life limekua gumu upande wake
 
.
FB_IMG_1551254560402.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom