Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
Mitikasi inaenda vipi pande hizoKwema bro,habar za kwako?mitikasi vp huko
Hahahaha Robert mzee wa kula Viembe vidogo na chumvi
I am!!Are you confident about your sexuality
Watampata safari hii...Hahahaha Robert mzee wa kula Viembe vidogo na chumvi
Hahahaha Robert mzee wa kula Viembe vidogo na chumvi
Muache aende tu amekataa kubadilika ungekuwa jaji ungempa miaka mingapiWatampata safari hii...
That's Good broI am!!
Are you serious bro?Ile kidnapping ndo mbaya,
Kula embe bichi ina raha yake kiana!!
Hamna kitu kama hiyo bro kwangu mimi embe mbichi situmii sababu nafikiri sio fair wanakuwa defenselessIle kidnapping ndo mbaya,
Embe bichi ina raha yake bana!!
Nina kabinti bro na sina huruma na pedophiles. Ni mvua maisha without parole akafie huko.Muache aende tu amekataa kubadilika ungekuwa jaji ungempa miaka mingapi
Three women,That's Good bro
How many women are you having?
Nimeshangaa sana aisee. Kaaliya kale amekaanza kana miaka 12. Kibinti cha miaka 12 kinajua nini? Hata kuvunja ungo pengine bado. Ni unyama sana na watu kama hawa wanapaswa kuhasiwa au kuuwawa kama wanavyofanywa Uchina na nchi zingine zenye sheria ngumu. Dunia hii imejaa wanawake wa kila aina kwa nini ukaparamie vitoto vidogo?Hamna kitu kama hiyo bro kwangu mimi embe mbichi situmii sababu nafikiri sio fair wanakuwa defenseless