Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
Three women,
Then that’s not confidence
You are suppose to have just one only one
Three women,
Una maanisha nini vitoto??Are you serious bro?
Kunyandua vitoto underage "kuna raha yake kiaina"? Am I missing something? Pedophilia?
[emoji818][emoji818]
[emoji106][emoji106]
Nina kabinti bro na sina huruma na pedophiles. Ni mvua maisha without parole akafie huko.
Nlijua tuu uta mrefer Obama,Then that’s not confidence
You are suppose to have just one only one
Are you serious bro?
Kunyandua vitoto underage "kuna raha yake kiaina"? Am I missing something? Pedophilia?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kana miaka 10 bro...Kana umri gani bro if you don’t mind me asking
Yeah Mimi pia ningempa maisha ni udhalimu sana afu anafanya makusudi Tu
R. Kelly anashtakiwa kwa kulala na vibinti vyenye umri gani? Uliangalia Surviving R. Kelly?
SawasawaI am!!
Nimeshangaa sana aisee. Kaaliya kale amekaanza kana miaka 12. Kibinti cha miaka 12 kinajua nini? Hata kuvunja ungo pengine bado. Ni unyama sana na watu kama hawa wanapaswa kuhasiwa au kuuwawa kama wanavyofanywa Uchina na nchi zingine zenye sheria ngumu. Dunia hii imejaa wanawake wa kila aina kwa nini ukaparamie vitoto vidogo?
So nambie akati Aaliya ana twelve, R kelly likua na umri gani?Nimeshangaa sana aisee. Kaaliya kale amekaanza kana miaka 12. Kibinti cha miaka 12 kinajua nini? Hata kuvunja ungo pengine bado. Ni unyama sana na watu kama hawa wanapaswa kuhasiwa au kuuwawa kama wanavyofanywa Uchina na nchi zingine zenye sheria ngumu. Dunia hii imejaa wanawake wa kila aina kwa nini ukaparamie vitoto vidogo?
Uzi huu ni kama kokoro bro. Na ma pedophile wamo humu. Aaargh !!![emoji36][emoji36][emoji36]Mimi pia amenistua kweli
Unajaribu kutetea kitu ambacho huwezi kukitetea. R. Kelly alikuwa 25+. Aaaliya alikuwa 13. Kwako hiyo ni sawa?So nambie akati aliya na twelve, R kelly likua na umri gani?
Hii ni sawa na mahusiano ya Lulu na Kanumba(Late)