capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,369
- 121,270
Nilitaka kujiona mtu mmoja mbaya sana hapa! Nashukuru imeonekana ni moja ya njia ya maisha na wote tunapitia.Hawajuani?
Hayo ni mapito lazima upitie bro. Ukiruka hii steji itakuja kukupa matatizo huko mbele bro. Kila mmoja wetu amepita huko. Life is a journey [emoji16][emoji16][emoji16]
Ofcoz hawajuani Bro, ulidhani na conduct srisamu???