Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ni kweli lakini bro ameongea fact ni kwa wanaojiamini Tu
Kuwa na mwanamke mmoja inawezekana Tu ni uamuzi wako na vipaumbele.
Kama huwezi kuwa nae mmoja sasa ni very likely kushindwa kuwa nae mmoja kwenye ndoa
Kwa hivyo kwa wanao date mwanamke zaidi ya mmoja hawajiamini??

Ni swala la mtazamo tuu, Obama hakumaanisha kuwa na wanamke zaidi ya mmoja ni kutokujiamini.

Unaweza kuwa na mwanamke mmoja tuu .. sababu hujiamini pia.
 
Sina hakika na hiyo range ya umri kati yao,

Ila ni kawaida kwa mahusiano ya BF na GF kwa even 18 yrs (+) VS below 18 Yrs.

Ni vile una m treat huyo GF,
Hakuna justification yo yote ile kwa namna yo yote ile katika mazingira yo yote yale inayoweza kutumika kuhalalisha jibaba zima la miaka 20+ kulala na kitoto chenye miaka chini ya 14 (kisheria ni 18). HAKUNA...

Mtu anayefanya hivyo ni mgonjwa wa pedophilia anayefurahia kufanya mapenzi na watoto wadogo. Na adhabu ya hawa, kwa maoni yangu (na kama ilivyo katika nchi nyingi), ni kuuwawa, kufungwa maisha au kuhasiwa.
 
Hongera kwa kuwa na kabinti Bro,

Am against R. Kelly's deeds too.
 
Kwa hivyo kwa wanao date mwanamke zaidi ya mmoja hawajiamini??

Ni swala la mtazamo tuu, Obama hakumaanisha kuwa na wanamke zaidi ya mmoja ni kutokujiamini.

Unaweza kuwa na mwanamke mmoja tuu .. sababu hujiamini pia.

Kujiamini sexual sio namna nyingine nafikiri

Huoni kama una risk sana kuwa na wanawake watatu wote, namaanishi unagawa vipi muda wako kwao
 
Me nishashindwa Bro, nasubiri wa kunituliza ashuke!!
Kwa vile uko under 25 bado sana. Watwange sana kwa sasa. Nakupa 10 au 15 years. Ukija kugonga 35 au 40 utakuwa umechoka na utaamua kutulia mwenyewe na mai waifu wako kabisa kabisa. Hapo utakuwa umekoswakoswa na UKIMWI, ushapata gono (siyo hili sugu la sasa) mara moja au mbili hivi na utachoka kutapanya mali zako kuhonga michepuko. Au inatokea tu Mungu Anafanya miujiza yake unakuwa Mwadventista wale wa kweli kweli kabisa unatulia tuliii kama vile siyo wewe vile.
 
51710897_101322217660701_18889838988134922_n.jpg
 
Cole unanifurahisha sana!

Anyway mazingira na namna naendesha mahusiano yangu na wanawake hawa watatu inabaki kua siri yangu,

Hii hua haipangwi inakuja Auto Bro.
Hawajuani?

Hayo ni mapito lazima upitie bro. Ukiruka hii steji itakuja kukupa matatizo huko mbele bro. Kila mmoja wetu amepita huko. Life is a journey [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Kwa vile uko under 25 bado sana. Watwange sana kwa sasa. Nakupa 10 au 15 years. Ukija kugonga 35 au 40 utakuwa umechoka na utaamua kutulia mwenyewe na mai waifu wako kabisa kabisa. Hapo utakuwa umekoswakoswa na UKIMWI, ushapata gono (siyo hili sugu la sasa) mara moja au mbili hivi na utachoka kutapanya mali zako kuhonga michepuko. Au inatokea tu Mungu Anafanya miujiza yake unakuwa Mwadventista wale wa kweli kweli kabisa unatulia tuliii kama vile siyo wewe vile.

Dah! Nmecheka sana.

BTW nimeelewa point ako!! Naamini unanitakia mema kupitia message hii.
 
I feel You Bro,

Usije jenga fikra kichwani kwako kwamba nasapot, ni vile tunajaribu kutizama mambo kwa angle ingine.
Hakuna neno bro. Hata kama unasapoti ni haki yako kabisa. Uhuru (usio na mipaka)

Ishu hii na ile ya ushoga ukijaribu kuziangalia kwenye angle nyingine unaweza kujikuta unahukumiwa mapema sana na jamii.

Huko kwako consenting age kwa mabinti kisheria ni miaka mingapi?
 
Back
Top Bottom