moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Usije ukakuta mtu kweli kaoa paka ohooo. Hii dunia kwani inaeleweka basi?
Hakuna kupigwa exile hapa [emoji16][emoji16][emoji16]
...and Masaki Peninsula is my home [emoji16][emoji16][emoji16]Naona you are touching new money Everyday [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Nilikua sijawahi kufika hiyo kanda ndio ilikua mara yangu ya kwanza, sikujua kama ni kawaidaKawaida tu mbona! Geita huko buana
Kweli ni kumuomba Mungu aepushe tu maana maisha hayana mfumo na hakuna aijuae kesho yakeAisee,inasikitisha sana,,nafikiri ni life labda lmemchanganya pelekea na kile kifo cha mchumba wake,,hali ni mbaya sana,,ni kumuomba Mungu tu