Hahahahaha!!!Huyu mtu ukimfatilia sana utajiona mpungufu balaa ila sasa ubuyu wa humu JF unamuongelea tofauti kabisa na mafundisho yake aiseee
Half brothers in the ring. NOT in real life...
Kabasele ya Mpanya na Hidaya. Mkongo alikuja akakutana na jimama jeupe la Kichaga akala akanogewa mpaka ikabidi atunge wimbo kabisa [emoji16][emoji16][emoji16]
Ulisharudigi kwenu? [emoji16][emoji16][emoji16]Nilikua sijawahi kufika hiyo kanda ndio ilikua mara yangu ya kwanza, sikujua kama ni kawaida
Amen bro [emoji1545][emoji1545][emoji1545]Siku njema kwenu wote.
Mfanikiwe katika kila jambo, keep the efforts.Let us not give up.
Salim Ahmed Salim. Kijana wa Nyerere. Kichwa sana. Wengi walidhani atakuwa rais wetu...
Is this Karl Marx?
The cat, kitty, pussy....Here kitty kitty kitty..