Sina fyekero mie ...Dont need it!Anzisha hiyo site. Nitalipia domain kwa miaka mitano GoDaddy. Sharti pekee ujitaje we ni nani na kwa nini uliamua kutumia fyekero. Kuna faida zo zote unazozipata kwa kutumia fyekero?
🤣🤣🤣🤣
Duh ndio wanavyofanya? .. sii poa kabisaHeaven ya kuja kuanzishiwa uzi humu na picha za mjurubeng wangu kuanikwa hadharani? Heaven gani hiyo?