Pia dawa hutumika mara kadhaa ndani ya siku moja, frequency, mfano utaambiwa umeze vidonge au upate sindano mara tatu au mara mbili kila baada ya masaa kumi na mbili au ishirini na nne, yapaswa ifanyike au itumike hivyo. Utapaswa kutumia dawa kwa muda wa siku tano, saba au mwezi mmoja,basi itapaswa iwe hivyo.