Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
[emoji818][emoji736][emoji818][emoji736][emoji818][emoji736][emoji818][emoji818][emoji818]
Wakikumbuka haya wanaweza kulia...Huyu kamanda aligeuka Yuda Iskariote [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1035667
😀😀😀 Soccer la Afrika lazima mchezaji uwe na umri mbili, yaani umri wa mchezo na umri halisi
😀😀 Hiyo kawaida bro siunajua rafiki wa adui yako ni adui yako piaNa si ajabu jamaa wakaanza tena kumuita fisadi [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1035425
Twaweza wote VICHAA
22/7π.
Thamani yake ngapi?
Kha! fyekero hilo lingekuwa kiboko..Isije ikawa we ndo KAB mwenyewe ohooo [emoji16][emoji16][emoji16]
Yap..Are these posts relating?
Sio mimi.. Hahaha kuna mtu alinijia na fyekero lakeAnzisha hiyo site. Nitalipia domain kwa miaka mitano GoDaddy. Sharti pekee ujitaje we ni nani na kwa nini uliamua kutumia fyekero. Kuna faida zo zote unazozipata kwa kutumia fyekero?