Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Hii ni kweli jamani au mnatania?BREAKING: Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa amerejea Chama cha Mapinduzi (CCM) leo Machi Mosi 2019. Lowassa ambaye alikuwa Mjumbe Mkuu wa CHADEMA alihama CCM na kujiunga CHADEMA, Julai 2015.View attachment 1035415
Halafu unakuta lijitu lijianaharakati uchwara limetoa mpaka mishipa ya shingo linatokwa na mapovu yanayonuka eti linatetea mwanasiasa wa upande wake.