Wakitamka hilo watakuwa wanaoga kinyesi kwa njia nyingineNa si ajabu jamaa wakaanza tena kumuita fisadi [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1035425
Huyu jamaa alikua anahangishwa na tamaa zake za kukalia kiti cha Magogoni sasa keshaona hana lake tena.
Watanzania watafanya makosa makubwa kuwaani wanasiasa kama hawa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahah mie mwenyewe nimeshangaa ni chupi au ni zile bana tumbo daahWhat's with the grandma's pants?
Please don' t. Baki hapa endelea kufurahia likes [emoji16][emoji16][emoji16]
Huenda ikawa hivyo,Mie ninachofurahia karudi hatimae baba Bismarck ataachia achia namba ili tupunguze kuzisoma maana waliyemsaka kwa udi na uvumba karudi
Please don' t. Baki hapa endelea kufurahia likes [emoji16][emoji16][emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kabisaa kavunja moyo wengi poor mbowe katumiwa na kuachwa akiwa gerezani. Slaa huko aliko full kicheko. Lissu kwake furaha pia maana nafasi ya uraisi ipo peupeee kwa upande wakeHuenda ikawa hivyo,
ila huyu mamvi amesababisha matatizo kwa watu mbalimbali waliompigania sidhani kama hayo ndiyo malipo yanayofaa kuwapa wafuasi wake
Sent using Jamii Forums mobile app
Wale wa ulipo tupo wapo kwenye harakati za kubadili ID aiseee. Nasubiria komenti ya BAK atakayeiona sreenshot pleaseee[emoji16][emoji16][emoji16]Lowasa nilimkataa, nilizozana na watu huko zama za ujio wake, nikiamini hakua mtu sahihi, subiri nikaone wanachosema sasa
Sent using Jamii Forums mobile app