Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

IMG-20190301-WA0015~2.jpeg
 
Wale wa ulipo tupo wapo kwenye harakati za kubadili ID aiseee. Nasubiria komenti ya BAK atakayeiona sreenshot pleaseee

Mchokodhi weye! [emoji23][emoji23][emoji23]... Halafu nimeona hapo juu Bro ananiita mimi muoga kwa vile siendi kule kwenye jukwaa la siasa, hivi nikafanye nini kule? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji1550][emoji1550]
 
Mchokodhi weye! [emoji23][emoji23][emoji23]... Halafu nimeona hapo juu Bro ana it’s mimi muoga kwa vile siendi kule kwenye jukwaa la siasa, hivi nikafanye nini kule? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji1550][emoji1550]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mchokodhi weye! [emoji23][emoji23][emoji23]... Halafu nimeona hapo juu Bro ananiita mimi muoga kwa vile siendi kule kwenye jukwaa la siasa, hivi nikafanye nini kule? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji1550][emoji1550]
Nenda kajifunze kutoa mapovu kuitana buku 7 nyumbu etc[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nenda kajifunze kutoa mapovu kuitana buku 7 nyumbu etc[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Kule hakunifai, kwanza hata hilo somo la Siasa huko shule mwalimu alipokuwa anaingia kufundisha mimi nilikuwa naruka dirishani nasepa zangu! Sikuipenda na sitakuja kuipenda Siasa, wanafiki na waongo wakubwa hao!
 
Back
Top Bottom