Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kule hakunifai, kwanza hata hilo somo la Siasa huko shule mwalimu alipokuwa anaingia kufundisha mimi nilikuwa naruka dirishani nasepa zangu! Sikuipenda na sitakuja kuipenda Siasa, wanafiki na waongo wakubwa hao!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]siasa bana unatakiwa usiwe upande wowote hapo utaifaidi sana
 
Back
Top Bottom