Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Wale wa ulipo tupo wapo kwenye harakati za kubadili ID aiseee. Nasubiria komenti ya BAK atakayeiona sreenshot pleaseee
BAK pia hakumkubali mamvi tangu mwanzo. Alikuwa ni mapovu tu ezi yujo...

Aliwavurugia CHADEMA ajenda yao ya kupambana na ufisadi halafu kawaacha. Hata akina Sumaye, Mgeja na wengineo watarudi tu...
 
BAK pia hakumkubali mamvi tangu mwanzo. Alikuwa ni mapovu tu ezi yujo...

Aliwavurugua CHADEMA ajenda yao ya kupambana na ufisadi halafu kawaacha. Hata akina Sumaye, Mgeja na wengineo watarudi tu...
Hahahha siasa bana. Nikapanga uchaguzi ujao ni bet upinzani ila wameniangusha acha tu tumvumile baba Bismarck maana anapendeza pale kivuko cha kamanga utalii tosha
 
Hahahha siasa bana. Nikapanga uchaguzi ujao ni bet upinzani ila wameniangusha acha tu tumvumile baba Bismarck maana anapendeza pale kivuko cha kamanga utalii tosha
Upinzani bado. Na hili la huyu mzee litawacost. It was a terrible miscalculation hata kama walivuta pesa ndefu kama inavyosemekana.
 
IMG-20190301-WA0020.jpeg
 
Back
Top Bottom