Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Pia alisema kuwa Hamza bin Laden alimuoa binti wa Mohammed Atta, kiongozi wa utekaji katika shambulio la Al-Qaeda la Septemba 11, 2001 nchini Marekani ambalo liliua watu 3,000 na kusababisha taifa hilo kubwa kuivamia Afghanistan. AFP
 
Kibarua cha kocha huyo kilionekana kinaweza kuendelea baada ya kupata ushindi dhidi ya Tottenham juzi Jumatano lakini wachambuzi wa michezo wanaona kocha huyo bado ana mtihani na suala la kukatwa panga huenda lipo pale pale.
 
Lakini Sarri alipoulizwa suala hilo alijibu: "Nadhani bado hujuma hazijakolea sana. Ili nikose usingizi inabidi watu waende mbali zaidi. Huwa sikosi usingizi kirahisi. Ukweli ni kwamba suala la kufukuzwa kazi huwa si jambo la ajabu."
 
Wapige kelele tu, mimi nimetulia, nafanya yale ninayodhani kwamba ni sahihi na yale ambayo si sahihi wala sishughuliki nayo. Huwa naongea na viongozi wa klabu, wao pia hushangaa kelele zinatoka wapi wakati wao ndio waajiri wangu,”alisema Sarri.
 
Happy friday too. Hivi poootiiii hujui njia ya majukwaa mengine???? Sijawahi kaona haka kakatuni kekundu huko majukwaan
Mwoga huyu ataiweza mikikimikiki ya let's say jukwaa la siasa? Wengine mpaka ilibidi tutafute marolo modo unafikiri mchezo? It is a jungle out there [emoji16][emoji16][emoji16]
 
50725393_244113023199722_3211871817872086338_n.jpg
51635269_107017743674297_2750697297078199056_n.jpg
 
Back
Top Bottom