moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Kiafrika zaidi...Mama na mwana [emoji7][emoji7][emoji7]
View attachment 1036183
George Kalambo, aliwahi kugombea uweka hazina wa Simba 1992 Diamond Jubilee hall, aliangushwa na marehem Hezlon Mwampulo aliyekuwa Meneja DDC.
Mzee George anakubalika sana na wahindi wa mitaa yake
Sent using Jamii Forums mobile app
Kabisa[emoji16][emoji16]Nyumba ya Mzaramo Haikosi mbilimbi [emoji6][emoji6][emoji6][emoji847][emoji847][emoji847][emoji16][emoji16][emoji16]