Tupia kapicha mkuuPicha za samaki huyo mwenye umbo kubwa zilionekana kwenye ukurasa wa kituo cha Coal Oil point na wataalam kutoka maeneo mbali mbali ya dunia wakakusanyika kusaidia kumtambua kiumbe huyo wa aina yake.
Huyu hapa.Picha za samaki huyo mwenye umbo kubwa zilionekana kwenye ukurasa wa kituo cha Coal Oil point na wataalam kutoka maeneo mbali mbali ya dunia wakakusanyika kusaidia kumtambua kiumbe huyo wa aina yake.
Asante sanaMnyama huyo ilipewa jijna la "hoodwinker" baada ya uvumbuzi wake kuwatatiza watafiti kwa miaka mingi.
Anatisha bhanaMarianne Nyegaard, ambaye ni mwanasayansi wa viumbe wa majini ambaye alimvundua na kumuita jina samaki huyo, aliiambia televisheni ya Marekani CNN kwamba "karibu nianguke kutoka kwenye kiti changu " nilipoiona picha ya samaki huyo''
Ni majaaliwa ya MunguWakati nilipopata picha halisi sikuwa na wasi wasi ," alisema. "Ni shauku iliyomfanya samaki huyo avuke uzio wa Ikweta."
AseHoodwinker ni samaki mkubwa sana na ambaye anateleza kuliko samaki wengine wa kizazi cha samaki wa jua (sunfish) , akiwa na uzito wa tani mbilili sawa na kilogramu 2000.
Maarifa kwakweliSamani wa aina yake wanasemekana kupenda zaidi maji yenye viwango vya joto vya juu, kama vile kwneye maeneo ya mwambao wa Chile au New Zealand.
[emoji16][emoji16][emoji16]Wewe amini hivyo, mimi MGUMU! Kabinti ka kizungu kataweza kweli kula ugali wa udaga na samaki aina ya Furu? Hapana kabisa aisee! [emoji1][emoji1]
Mwanaume kulia lia ovyo msibani ni umama.
Ukija na dagaa zako toka Mwanza lazima kwanza tukampe zawadi mjumbe na Diwani wetu wa MchafukogeKumbe unamjua vizuri sana huyu jamaa! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]... Siku nikileta gunia zangu za dagaa hapo shimoni Kariakoo lazima nikustue aisee! [emoji1][emoji1]