Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Sidhani kama ana support system nzuri kama ya Ray C. Naye watu wanamtumia tumia tu masikini. Pamoja na kutoa kazi nyingi nzuri lakini nasikia kiuchumi hayuko vizuri. Mungu Amsaidie kwa kweli [emoji1545][emoji1545][emoji1545]Unga mweupe unaumiza wengi, nadhani ni zamu ya wauzaji nao kuumia.
Mungu Muumba amjaalie afya njema arudi kwenye majukumu yake kama ilivyokua kwa Ray C
Sent using Jamii Forums mobile app
Imagine mtu unakufa na hakuna kugegeda tena. Na misambwanda unaiacha dah [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]Tukikubali na tukikabili, maana kifo kipo.
Najua ni kazi ngumu maana Dunia ni tamu sana, ndiyo maana tunajilazimisha kujisahaulisha kifo kinachotusubili siku tusiyoijua.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani haiwezekani mtu ukakaushwa kama mafarao na funza wasikuguse huko kaburini? Kuna wakristo nimeona wanapigwa kiberiti na nijuavyo Biblia nadhani haikatazi.Kama wewe ni Budha au Hindu kiberiti kitakuhusu, vinginevyo utalazwa mchangani kijijini Koromije.
Hata wakikujengea kaburi la milioni 4, lenye marumaru na jeneza la mamilioni funza watapenya tu.
Tutende yenye kumridhisha Mola wetu maana tuendako hatukujui.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mzima huyu jamaa?
Huyo mwingine ni nani kamanda?
Hapana bro,kwa jambo hilo siwezi,,hakuna marefu yasiyokuwa na mwsho.
duh!
Asante mkuu,iwe na kwako piaasubuhi njema wote
😀😀😀😀😀
asante mkuu...Asante mkuu,iwe na kwako pia
duh!!
Ni jambo la kumshukuru Mungu,kuweza kuiona siku nyingine tena tukiwa na afya tele[emoji120][emoji120]jua linachomoza na matumaini mapya
Koromije hawana hizo,watabishana weee mwisho wa siku huko ulipo unabaki disappointedKuliwa na mafunza kha !!!
Mi naona nitatiwa kiberiti tu kwa kweli kwa sababu hakuna namna [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Ni jambo la kumshukuru Mungu,kuweza kuiona siku nyingine tena tukiwa na afya tele[emoji120][emoji120]