Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

HUENDA WAHITAJI...
* Kusajili kampuni
* Annual Return - Brela
* Hesabu za Kodi, Hesabu za Kampuni,
*Kuandaa Memorandum....
* Kuandika Business Plan, Business Profile,
* Kuandaa Tender documents, CRB
*Kutengeneza LOGO, Business Cards, Brochures, Banners
* Printing - All types of Books
*Digital Printing: T-SHIRTS, CAPS, BAGS, PLATES, CUPS, etc.
TUPIGIE/ MESEJI - 0684 205039: 0778437201
WATSUP TU 0652 411402
BEI ZETU HAZINA USHINDANI, MIKOANI PIA TUNAHUDUMIA

Ushauri ni Bure... By Team Solution Consultation

Sent using Jamii Forums mobile app
Ili upate wateja, gonga likes kwanza. Siyo unaweka tangazo tu na kusepa [emoji16][emoji16][emoji16]
 
tostos____Bq2voJUANK4___.jpg
 
Rubani wa naibu rais William Ruto amefariki katika jali ya ndege baada ya helikopta aliyokuwemo kuanguka nchini Kenya.
Taarifa katika vyombo vya habari nchini zinaeleza kwamba ndege hiyo ilianguka Jumapili mwendo wa saa mbili usiku katika eneo la Turkana.
Inaarifiwa kwamba Kapteni Mario Magonga amefariki pamoja na abiria wengine wanne.
 
Taarifa zilizopo zinaashiria kwamba ndege mbili zilitua mapema katika kambi ya Lobolo katika kisiwa hicho kilichopo kwenye mbuga ya kitaifa, hatahivyo moja ndio iliyofanikiwa kutua salama katika eneo hilo," idara ya polisi imesema katika taarifa yake rasmi.
 
Kapteni Magonga ni nani?
Alikuwa rubani wake naibu rais wa Kenya William Samoei Ruto.
Aliwahi kuwa rubani katika jeshi la Kenya.
Ni mzawa wa Nyamataro, Kitutu Chache kusini, kaunti ya Kisii - kusini magharibi mwa Kenya.
Babake ni mwanajeshi mstaafu; Brigedia (rtd) Magonga.
 
Alikuwa rubani mkuu wa helikopta za kampuni ya KIDL helicopters - inayotoa huduma za usafiri binafsi katika eneo zima la Afrika mashariki.
Alikuwa mkufunzi aliyehitimu wa helikopta.
Alipokea mafunzo kutoka kikosi cha ulinzi Kenya KDF.
 
Back
Top Bottom