Mnatafuta kisingizio ama?Manchester United's missing players against PSG:
Alexis Sánchez
Jesse Lingard
Anthony Martial
Juan Mata
Ander Herrera
Nemanja Matić
Phil Jones
Antonio Valencia
Matteo Darmian
Pogba (Red card)
View attachment 1038047
Si ajabu tiba wanayo hawa mabepari watawala wa dunia...
Si ajabu tiba wanayo hawa mabepari watawala wa dunia...
Ebola tiba wamekaa nayo mpaka ilipofika kwao ndo wakaitoa. UKIMWI ungekuwa unaua haraka kama Ebola naamini ungekuwa ushatibika zamani sana. Dunia ya wenyewe hii walahi [emoji16][emoji16][emoji16]
Kuna watu wana dhambi hii dunia mpaka basi. Hata siyo fea kwamba eti siku ya mwisho mi mpenda misambwanda nitapata adhabu sawa na hawa wanaoua mamilioni ya watu kwa tamaa ya pesa.Nadhani pale Pharmaceutical Companies watakapo ridhika kuwa wameuza/make hela ya kutosha kwa kuuza hizo Antiretroviral Drugs ndio watakapotoa tiba ya Ukimwi! [emoji1][emoji1][emoji1]