Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"


Nadhani pale Pharmaceutical Companies watakapo ridhika kuwa wameuza/make hela ya kutosha kwa kuuza hizo Antiretroviral Drugs ndio watakapotoa tiba ya Ukimwi! [emoji1][emoji1][emoji1]
 
Nadhani pale Pharmaceutical Companies watakapo ridhika kuwa wameuza/make hela ya kutosha kwa kuuza hizo Antiretroviral Drugs ndio watakapotoa tiba ya Ukimwi! [emoji1][emoji1][emoji1]
Kuna watu wana dhambi hii dunia mpaka basi. Hata siyo fea kwamba eti siku ya mwisho mi mpenda misambwanda nitapata adhabu sawa na hawa wanaoua mamilioni ya watu kwa tamaa ya pesa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…