Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Sheikh tutakukumbuka daima kwa darsa zako zilizotukuka
tapatalk_1551771248833.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna tatizo. Ni kawaida hiyo. Neno halina maana likiondolewa katika muktadha wa watumiaji wake.

Hapa ukiingia kwenye maduka ya Wamexico kuna juisi moja inaitwa Mavi na wanaipenda sana. Pia kuna franchise ya Jamba Juice. Au yule balozi wa Japan ambaye vyombo vya habari vilikuwa vinapata shida kutamka jina lake (Bw. Shikumura Kumamoto)
 
Back
Top Bottom