Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

455031670_225834.jpeg
 
Hakuna tatizo. Ni kawaida hiyo. Neno halina maana likiondolewa katika muktadha wa watumiaji wake.

Hapa ukiingia kwenye maduka ya Wamexico kuna juisi moja inaitwa Mavi na wanaipenda sana. Pia kuna franchise ya Jamba Juice. Au yule balozi wa Japan ambaye vyombo vya habari vilikuwa vinapata shida kutamka jina lake (Bw. Shikumura Kumamoto)
Hahahaha ,,,jina la huyo waziri kiboko,,sema kwao lnakuwa halina impact yoyote ile,linakuwa na maana tofaut kabsa

Hakuna shida kama usemavyo
 
Back
Top Bottom