Hahaha hiyo comment #75 mbona unairudia rudia sana???Mhando75 doh !!! [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1038538
The Nature Boy...Wuhuuuuu !!!
Ilijirudia kimakosa. Ni ile unabonyeza haiendi unabonyeza tena...[emoji16][emoji16][emoji16]Hahaha hiyo comment #75 mbona unairudia rudia sana???
Hahahaha kumekuchaJamaniiiiiView attachment 1038558
Aiseee sijui huwa wanaona raha gani kujifotoa
Sitasema kitu hata ukiamua kusema kitu na nitajifanya sijaona kitu japo nimeona kitu...Hahahaha kumekucha