Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

GettyImages-1079815010-1024x685.jpg
 
Manchester United wako tayari kupambana na Paris St-Germain wakimtumia winga wao kutoka timu ya Borussia Dortmund Jadon Sancho, mwenye umri wa miaka 18-ambaye anatazamiwa kuwa mchezaji wa kwanza wa England kulipwa pauni £100m. (Telegraph)
 
Juventus wanataka kumchukua winga wa Real Madrid Marco Asensio, mwenye umri wa miaka 23, baada ya mchezaji huyo wa kimataifa wa Uhispania kuwekwa benchi katika mchezo wa Jumamosi ambapo El Clasico ilishindwa na Barcelona. (Tuttosport - in Italian)
 
Back
Top Bottom