Manchester United wako tayari kupambana na Paris St-Germain wakimtumia winga wao kutoka timu ya Borussia Dortmund Jadon Sancho, mwenye umri wa miaka 18-ambaye anatazamiwa kuwa mchezaji wa kwanza wa England kulipwa pauni £100m. (Telegraph)
Barcelona, Real Madrid na Chelsea watalazimika kuwa na subira ya kusaini mkataba na mshambuliaji wa Eintracht Frankfurt na Serbia striker Luka Jovic, 21, kulingana mkurugenzi wa klabu hiyo Fredi Bobic. (Sky - in German)
Barcelona, Real Madrid na Chelsea watalazimika kuwa na subira ya kusaini mkataba na mshambuliaji wa Eintracht Frankfurt na Serbia striker Luka Jovic, 21, kulingana mkurugenzi wa klabu hiyo Fredi Bobic. (Sky - in German)
Juventus wanataka kumchukua winga wa Real Madrid Marco Asensio, mwenye umri wa miaka 23, baada ya mchezaji huyo wa kimataifa wa Uhispania kuwekwa benchi katika mchezo wa Jumamosi ambapo El Clasico ilishindwa na Barcelona. (Tuttosport - in Italian)
Bayern Munich wanamlenga winga wa Arsenal mwenye umri wa miaka 18 Xavier Amaechi, ambaye alichezea kikosi cha vijana wadogo cha England. (FootballLondon)
Arsenal wanatarajia kutuma ujumbe wao hadi Roma kwa mazungumzo kwa ajili ya winga Mturuki Cengiz mwenye umri wa miaka 21, ambaye kwa sasa yuko fiti. (Calciomercato - in Italian)
Mchezaji wa safu ya ulinzi ya Everton Seamus Coleman amemuunga mkono bosi wake Marco Silva, kuelezea haja ya "kuwapa watu muda wa kutekeleza mtindo wao wa mchezo ". (Talksport)
Mchezaji wa Real Madrid mwenye umri wa miaka 20-year- raia wa Norway anayecheza safu ya kati Martin Odegaard,ambaye kwa sasa anacheza kwa mkopo katika timu ya Vitesse, anaweza kujiunga na Ajax kwa mkopo msimu ujao. (AS - in Spanish)