Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Yeah. Ilikuwa ni aina fulani ya hobby hivi yaani. Athari zake bado napambana nazo bro. Misambwanda bado ni ishu sana kwa kweli [emoji16][emoji16][emoji16]
Hii mechi lini?
View attachment 1039034
Sio kuja tu bro hiyo ni mali yetu halali kabisa tumemaliza kila kitu huko anamalizia tu msimu wakeHahah
De Jong shughuli nyingine ile,,mmepata kifaa kile nasikia anakuja kwenu
Bernabeu imeshuka hadhi yake sasa sio kama zamaniSana bro,sikutegemea kama watafanya kile walichokifanya pale Bernabeu,,Total football jana wameionesha.
[emoji85][emoji85][emoji85][emoji85] Dah !!!Hahaha naona bro,kuna uzi flani hv nilikukuta ulikuwa unazungumzia Nyumba Ni Choo,,,hahahaa nilicheka sana sio kwa detail zile ulizokuwa unazshusha
Akina Esta na kundi lake itabidi wawe wapole tu kwa sababu hakuna namna...Hii leo bro
Hahah hongereni aisee,kifaa kileSio kuja tu bro hiyo ni mali yetu halali kabisa tumemaliza kila kitu huko anamalizia tu msimu wake
Kabsa bro,Perez anatakiwa afanye mamboBernabeu imeshuka hadhi yake sasa sio kama zamani
safi sanaBondeni jirani...
View attachment 1039043