Hahaha wale watt shwaini sana,jana wamemuaibisha mtu mzima hv hvPole sana binti mpole, hii timu itakupa vidonda vya tumbo
Nimeshastaafu bro na nilikabidhi mafaili yote kabla CHAWAMITA hakijafa. Zimebakia kumbukumbu tu [emoji16][emoji16][emoji16].Bro,,,unastahili awards,,au ni agency wa model??maana sio kwa kuwafukunyua huku[emoji119][emoji119]
Kama ni agency wafanyie mpango ndugu zetu wa kule now waonyeshe urembo wao wa asili usiokuwa na plastic surgery[emoji23][emoji23]
Kazi nzuri sana wanastahili kujipongeza na pongezi piaWho's the boss in Bernabeu??View attachment 1039028
Hahaha[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Haya buana we jikuze tu!
Hakika walichokifanya kitakua kimeshtua wadau wengi wa Soccer ulimwenguniHahaha wale watt shwaini sana,jana wamemuaibisha mtu mzima hv hv
Pengine alikuwa na sattelite phone [emoji16][emoji16][emoji16]Kuna mwanasiasa mmoja alienda kijijini kwao kutaka kuomba kupigiwa kura. Alipofika wanakijiji wakamwambia tuna matatizo makubwa mawili.
Mwanasiasa akauliza ni yapi hayo? Wanakijiji wakasema hatuna Daktari bingwa hapa kijijini kwetu. Mwanasiasa akanyanyua simu yake, akampigia mtu wakaongea kwa dakika kadhaa. Alipomaliza akawaambi tayari tatizo la Daktari nimelimaliza.
Akawauliza wanakijiji tatizo la pili ni lipi? Wanakijiji wakajibu na kumwambia tatizo la pili ni kwamba hapa kijijini kwetu hakuna network ya simu za mkononi kabisa.....
Wanasiasa punguzeni uwongo
Hahaha bhasi kipindi hujarudisha hayo mafaili ulikuwa vzr sana.Nimeshastaafu bro na nilikabidhi mafaili yote kabla CHAWAMITA hakijafa. Zimebakia kumbukumbu tu [emoji16][emoji16][emoji16].
Yeah. Ilikuwa ni aina fulani ya hobby hivi yaani. Athari zake bado napambana nazo bro. Misambwanda bado ni ishu sana kwa kweli [emoji16][emoji16][emoji16]Hahaha bhasi kipindi hujarudisha hayo mafaili ulikuwa vzr sana.
HahahKazi nzuri sana wanastahili kujipongeza na pongezi pia
DE Jong.... I see you
Am sorry
Sana bro,sikutegemea kama watafanya kile walichokifanya pale Bernabeu,,Total football jana wameionesha.Hakika walichokifanya kitakua kimeshtua wadau wengi wa Soccer ulimwenguni