Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hahaha naona bro,kuna uzi flani hv nilikukuta ulikuwa unazungumzia Nyumba Ni Choo,,,hahahaa nilicheka sana sio kwa detail zile ulizokuwa unazshusha
Yeah. Ilikuwa ni aina fulani ya hobby hivi yaani. Athari zake bado napambana nazo bro. Misambwanda bado ni ishu sana kwa kweli [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…