Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Hii timu bana ntakwambia kule tunatest ila ngoja tu nikwambie hapa. Baada ya CR7 kuondoka vipigo vya Madrid haviumi. #Perezout#Pole sana binti mpole, hii timu itakupa vidonda vya tumbo
Hii dharau haikuwepo kipindi cha CR7 shuaini zake perezWho's the boss in Bernabeu??View attachment 1039028
amin....Mwenyezi Mungu atujaalie afya njema, na baraka ili tuimalize vema siku ya leo
Sent using Jamii Forums mobile app
Ameeeen.Asante Mungu. Wengi walitamani waione asubuhi ya leo lakini wameshindwa. Endelea kutubariki Baba [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
wazima kabisa.. nawe piaHey, i hope ni wazima wote.
Nawatakia siku njema wote.
Ahsante bro.wazima kabisa.. nawe pia