Hebu weka skini shoti hapa tuende pamojaHahaha naona bro,kuna uzi flani hv nilikukuta ulikuwa unazungumzia Nyumba Ni Choo,,,hahahaa nilicheka sana sio kwa detail zile ulizokuwa unazshusha
Wewe mbona siku ile ulikataa kuweka skrinishoti za mapovu kutoka jukwaa la siasa? Wacha hizo !!!Hebu weka skini shoti hapa tuende pamoja
Hakuna cha RIP wala Inna lillah. Ni kupambana naye tu wallahi [emoji16][emoji16][emoji16]Rest in peace
Inna lillahi wainna illahi rajioun
Or kunena kwa hatari
Naona viota vya maraha unavijua bro. Safi sana [emoji16][emoji16][emoji16]Huyu ni Mbongo,hyo China Bar si iko Bongo,nmezoom nmeona[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]