Kwakweli vijana wamepiga soka si mchezoAjax ikicheza soka la kiwango cha hali ya juu, imefanikiwa kuiondosha mabingwa wa ulaya mara 13, Real Madrid katika uwanja wake wa nyumbani Bernabeu na kufuzu kwa mara ya kwanza katika kipindi cha miaka 22.
Ikilala 2-1 katika mchezo wa kwanza, kikosi cha Erick ten Hag kilipata magoli ya mapema ndani ya dakika 18 kupitia kwa mshambuliaji wake Hakim Ziyech na David Neres.
Moroco
Acha iwe hivyo ili nao wayaone machungu ya kupoteza mataji, shuani zao[emoji16][emoji16]Kabsa,,Bernabeu sasa hv mtu yoyote anaenda na kuchukua point zake tena kilain sana