[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]aiseeeeEven sex canβt beat thie feeling of being a true Man Utd fan right now.
laha ndani ya loho leo πππ.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]aiseeee
Rip KibondeWakati mashabiki wengi wakilala usingizi mwonono na furaha tele. Kuna wenzetu walikua wakipigania uhai wao iwe nyumbani,hospital etc. REST IN PEACE KIBONDEView attachment 1039965
Haswaaa..Maisha haya ni mafupi, ukipata nafasi ya kumwambia mtu unampenda mwambie, akiumwa kampe pole, akikuomba msamaha samehe, ukimkumbuka mjulie hali..Usiyape majivuno nafasi, tuna muda mchache duniani...
*Uhai ni zawadi, kifo ni lazima..*
Sent using Jamii Forums mobile app
Aaah na wewe weka r badala ya l[emoji23][emoji23]laha ndani ya loho leo πππ.