Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Sorry Mbappe try again next year

52044885_328584098000366_4315602560942389828_n.jpg
 
Wakati mashabiki wengi wakilala usingizi mwonono na furaha tele. Kuna wenzetu walikua wakipigania uhai wao iwe nyumbani,hospital etc. REST IN PEACE KIBONDEView attachment 1039965
Dunia hii haifai na binadamu tuna tabia ya kujisahau sana mpaka tunalalamika kwa vitu vidogo vidogo tu. Ukitaka kujikumbusha tembelea hospitalini ili ukajionee watu wanavyoteseka.

Safari yake kaimaliza na Mungu Ampumzishe anavyostahili [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Back
Top Bottom