Marcus Rashford ndiye alikuwa kinara wa mechi hiyo, baada ya kufunga bao la penalti katika muda wa lala salama na kushangaza dunia, huku zawadi yao ikiwa ni kutua katika robo fainali kwa jumla ya mabao 3-3 huku Man United wakipata faida ya bao la ugenini.
Lakini kilichotokea Uwanja wa Parc des Princes bado kinashangaza wengi mpaka sasa na kuwafanya wachezaji, kocha kubaki mdomo wazi kwa kile kilichotokea.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.