Nimezichagua helufi zangu vizuli 😀😀😀😀😀Aaah na wewe weka r badala ya l[emoji23][emoji23]
Ukweli mtupu.Maisha haya ni mafupi, ukipata nafasi ya kumwambia mtu unampenda mwambie, akiumwa kampe pole, akikuomba msamaha samehe, ukimkumbuka mjulie hali..Usiyape majivuno nafasi, tuna muda mchache duniani...
*Uhai ni zawadi, kifo ni lazima..*
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole Familia ya Kibonde na Clouds pia.Wakati mashabiki wengi wakilala usingizi mwonono na furaha tele. Kuna wenzetu walikua wakipigania uhai wao iwe nyumbani,hospital etc. REST IN PEACE KIBONDEView attachment 1039965
Dunia hii haifai na binadamu tuna tabia ya kujisahau sana mpaka tunalalamika kwa vitu vidogo vidogo tu. Ukitaka kujikumbusha tembelea hospitalini ili ukajionee watu wanavyoteseka.Wakati mashabiki wengi wakilala usingizi mwonono na furaha tele. Kuna wenzetu walikua wakipigania uhai wao iwe nyumbani,hospital etc. REST IN PEACE KIBONDEView attachment 1039965
Hahahahaaa asanteeNimezichagua helufi zangu vizuli 😀😀😀😀😀
Hongereni.