Si ajabu ni Generale Defao huyo unayemsema. Sasa kazeeka yaani amekuwa kituko. Jamaa wanapenda swaga sana...Na mikorogo wakongo ni kiboko kama koffi olomide,bozi boziana na mmoja jina limenitoka huyu kajikoboa balaa
Duh!!View attachment 1040312
Celmantine, 52, has five children and she is a housewife, but for 36 years she has also been a Sapeuse. Her father was Sapeur and he gave her this pipe, made from Congolese ivory
Anapeleka kesi huyo...Meneja wa zamani wa Manchester United Jose Mourinho anakaribia kuwa tayari kwa asilimia 100% kurejea katika klabu ya Real Madrid msimu huu ,baada ya kuiacha na kujiunga tena na Chelsea mwaka 2013. (Telegraph)
Ni kutoka ile kanda yetu pendwa ama?Kabisaaa miracle kama hiziView attachment 1040317
Enheeee huyu huyu daah jaman sijui kwann wanapenda kujikoboa.Si ajabu ni Generale Defao huyo unayemsema. Sasa kazeeka yaani amekuwa kituko. Jamaa wanapenda swaga sana...
Hata Madilu naye mwishoni mwishoni uzeeni hapa kabla hajafa alikuwa anazidi kuwa mweupe tu...
View attachment 1040319
wazungu na wao siku hizi wameiga tabia za simba na yanga, jose mourinho anapenda awe ni mwanadamu mwenye sauti ndani ya klabu na suala hilo ndilo limechangia kiasi kikubwa atofautiane na perez kipindi kile sasa sijui nyakati hizi itakuwaje.Meneja wa zamani wa Manchester United Jose Mourinho anakaribia kuwa tayari kwa asilimia 100% kurejea katika klabu ya Real Madrid msimu huu ,baada ya kuiacha na kujiunga tena na Chelsea mwaka 2013. (Telegraph)
Hamna,huyu hana nywele ila saluni wamembandika hizo yebo hapo mbele kwa super glue.Ni kutoka ile kanda yetu pendwa ama?
Perz kwa sasa kabanwa balaa hana jinsi. Anaweza mrudisha zidane na kukubali masharti yake aliyoyataka mwanzon akabaniwawazungu na wao siku hizi wameiga tabia za simba na yanga, jose mourinho anapenda awe ni mwanadamu mwenye sauti ndani ya klabu na suala hilo ndilo limechangia kiasi kikubwa atofautiane na perez kipindi kile sasa sijui nyakati hizi itakuwaje.
ngoja tuone hii filamu itakavyokuwa.
nimejikuta naikumbuka ile interview ya hazard aliposema natamani kufanya kazi tena na jose mourinho.
Ni huko huko kanda ya Kaskazini jirani...Shimbonyi kabisa huyu..[emoji16][emoji16][emoji16]Msaada hapo[emoji23][emoji23]
Hiyo super glue haitakuja kutoka na ngozi au inakuwaje sasa? Haumii?Hamna,huyu hana nywele ila saluni wamembandika hizo yebo hapo mbele kwa super glue.
ha! icho kidole cha nne kimekatika au macho yangu bado yana stressSi ajabu ni Generale Defao huyo unayemsema. Sasa kazeeka yaani amekuwa kituko. Jamaa wanapenda swaga sana...
Hata Madilu naye mwishoni mwishoni uzeeni hapa kabla hajafa alikuwa anazidi kuwa mweupe tu...
View attachment 1040319
Bro bro wanawake sie viumbe vya ajabu. Inauma balaa basi tu kupenda urembo na kufuata mikumbo.Hiyo super glue haitakuja kutoka na ngozi au inakuwaje sasa? Haumii?