Duh!!Imebidi niirudie picha naona ni swaga zile za kifreemason
AiseeMapacha...
View attachment 1040341
Jamaniii [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] Unataka kuchukua Mkasi ukate?
Obama alikuwa mtu mcheshi na mpenda mizaha sana. Picha kama hizi zipo nyingiHahaha dah wameitoa wapi hiyo picha
Kama wewe ni bosi wake mlime warning letter...Umeona ee..kuna jamaa nilikuwa namuelekeza job anapiga miayo tu namwambia vipi? ananiambia nimekesha naangalia footie
Utafanya niache kuzama uvinza aisee [emoji85][emoji85][emoji85]Kuna ya kutisha zaidi. Zipo zinazooshewa maji ya maiti etc
Wasukuma bana [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
πππππEti siku hizi shetani anaitwa shetty
Hata mi nimeshangaa broKumbe Nyanya ina matumizi mengi[emoji15]
Hahahaha siku hizi unajiwah. Hao sio wasukuma ni mashabiki wa mpira wanapenda kuitumia sana hii pichaWasukuma bana [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Kumbe huwa unapiga deki huko aiseeeee unakula vingi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Utafanya niache kuzama uvinza aisee [emoji85][emoji85][emoji85]