Nigendako
JF-Expert Member
- Dec 1, 2017
- 23,296
- 122,446
Sikuwa kufikilia bro,,kote kote wanapambana,kule nazi,karanga,tangawiz,vumbi upande wa pili maji ya maiti,nyanya,mara kuna wengine wanadai kuna nyama huwa inawekwa kwenye nunu siku 7 hlf unakuja kulishwa,,,hahahaHata mi nimeshangaa bro
Nasikia ukila ile nyama,kila kitu ni ndio bae,,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]