Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Na mahotelini huko hutakula. Watu wanatemea makohozi kwenye supu sembuse konokono ambaye umeamua kumfakamia mwenyewe bila kulazimishwa?
Uwiiiiiiiii ndo maana sipendi makongoro yanavyotereza sasa. Ila vya kukaangwa nakula tu teeena sijali maana sijaona[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Uwiiiiiiiii ndo maana sipendi makongoro yanavyotereza sasa. Ila vya kukaangwa nakula tu teeena sijali maana sijaona[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hata makongoro mi sipati shida. Si kohozi limepambana na joto bana. Mi napiga tu. Atajijua na makohozi yake kwa kujichumia dhambi za bure
 
Muone !!!

Wewe ni sample ya case study ya usaliti nikiona denti anafanya utafiti huo nitamuomba aje akuhoji. Yaani umekuja hapa bro bro nikakupokea vizuri na kwa heshima sana na upendo kumbe najiangamiza. Sijui kale kalikupaga nini. Sad [emoji24][emoji24][emoji24]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Umenichekesha sana bro,ule ulikuwa ugeni bro,nilikuwa nawaogopa kila nikija nakuta kila mtu yupo busy na mambo yake,,,aisee
Shiro akasema tukomae hapa hapa + Faunda wa TMR mambo yakawa faya [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sasa hivi imebaki history!!
 
Nikikumbuka yaani dah! Ila haina neno bro. Wanasemaga malipo ni hapa hapa duniani. Nawe utasalitiwa tu na bro uliyemwamini. Pengine hata ile 5K uliyopigwa na yule jamaa ni sehemu ya malipo ya usaliti. I wish ungepigwa zaidi hata kamilioni hivi kabisa ili akili ikukae sawa sawa. Ungeuziwa lifetime GB kwa 1 milioni ingependeza zaidi wallahi.
 
Naikumbuka hiyo movie,,aisee yule mama alikuwa anasukuma chapati pemben mume wake amelala,kile kisukumio anakipitisha tena kwenye kifuu cha bwana wake hlf anaendelea tena kusukuma chapat aisee[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]yule mama funga kazi,ningekua mie ningerudisha chenchi ya maana hapo
 
Acha kabisa ile kitu,unajikuta unahisi umepelekwa Trump kumbe upo hapa hapa ardhi ya bwana stone[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Una uzoefu eeeh !!!

Kuna lekchara mmoja hivi alikuwa hataki kabisa hata kusikia. Kwa jinsi alivyokuwa msafi nikamkomalia uvinza na makorokocho mengine weee. Kuanzia siku hiyo akawa analeta mpaka zawadi eti "na leo nifanyie kama ulivyonifanyia siku ile". Hata mjurubeng hataki tena. Sitashangaa kama aligeuka na kuwa msagaji [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
 
Back
Top Bottom