Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
An innocent request like.. 'Hebu angalia kama duka ya Mama Martin imefunguliwa?' can't sound right anymore. You filthy humans.
Esta mkorofi...
Ila kuna wengine wachoyo sana wa chumvi yao. Hawataki iguswe isipokuwa tu kwa koleo. Na wengine uvinza ni must mpaka kesho yake mnagombana nani atoe godoro nje ili kuepuka aibu ya wapangaji.
😀😀😀😀😀😀 haya mkifunga unitag😁😁😁 sisemi kwanza mpaka tukifunga
😂😂😂😂😂Kumbe huwa unapiga deki huko aiseeeee unakula vingi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nenda Breitbart ukaone supporters wake. Wana hasira hao na wako tayari kufa kwa ajili yake. Cha ajabu sasa ni walokole (Evangelicals) [emoji16][emoji16][emoji16]This guy is above the law, I guess! F$&!&to all Republicans and their mama who still support him!
Ukikuta mtu ambaye yeye kila siku ni kulia lia tu eti anaonewa 99% atakuwa anacreate his/her own storms...