Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Shida sasa sema wafanyakazi hawa hata hawapimwi afya zao. Mwingine ana TB au Hepatitis halafu ndo hivyo ana frustrations anatemea vyakula. Hapo ni tatizo...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]aiseeee